Nafasi Ya Matangazo

January 28, 2009

Hii ni barabara ya hapo juu katika bango, foleni kama Jangwani.
Hapa napo ndo kama hivyo jamani.
Hapa hakuna tofauti ya na Mwenge Posta -Ali Hassan Mwinyi road. Hivyo jamani kuwa na miundombinu mizuri sio jawabu la foleni. Asante Mdau Juma Kengele.


Posted by MROKI On Wednesday, January 28, 2009 3 comments

3 comments:

  1. sasa kama kwengine kuna foleni ndio tusitafute ufumbuzi wa foeni mbongo? hizo akili ama kinyesi!

    ReplyDelete
  2. kwa vile afrika kusini kuna foleni ndio sisi tz tusilalamike,ya afrika kusini waachiwe wenyewe,na yetu tuachiwe wenyewe,tutachonga mpaka kieleweke.

    ReplyDelete
  3. asante mdau kwa picha naona ulipiga picha hizi ukitokea pretoria..father k hebu niambie nakutumiaje picha nikuonyeshe foleni halisi inayokera hapa SA.

    MDAU..jamal

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo