
Wiki hii katika kipindi maarufu cha "RIPOTI KAMILI" kinachorushwa hewani na Kituo Maarufu cha ITV na watangazaji wake maarufu kilitoa ripoti juu ya kuibiwa kwa watu katika maegesho ya Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam kutokana na risiti wanazo patiwa watu hao. Hapa Blog hii ilichobaini ni kuwa Risiti hizo ni halali maana kampuni iliyopata tenda ya kukatisha ushuru uwanjani hapo ni ya kutoka Kenya na ofisi zao zipo Kenya.
Sijui wadau mnasemaje juu ya hili.
0 comments:
Post a Comment