Nafasi Ya Matangazo

January 29, 2009

Mchekeshaji Stive Nyerere akijarubu kuiga pozi za Rais Jakaya Kikwete wakati akiongea. Viongozi mbalimbali akiwepo Rais jakaya Kikwete wakifurahi na vichekesho vya kuigiza sauti za watu mashuhuri kutoka kwa Stive Nyerere wakati wa chakul amaalum cha madiwani kwa aajili ya kumpongeza Rais kwa mafanikio ya uongozi wake.
"Gonga mzee" Hapa alikuwa anataka kugonga na Meya Kimbisa sio Rais
Makada wa CCM tawi la Chuo Cha Usimamizi wa Fedha Dar es Salaam wakijichana katika msosi huo wa Madiwani wa Dar es Salaam jana.






Posted by MROKI On Thursday, January 29, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Ze comedy kazi wanayo na hivi wameshuka chati we haya weee lazima wabdilishe mbinu

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo