
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini Jacob Zuma (kushoto) wakati viongozi hao walipokutana juzi mjini Johannesburg, Afrika Kusini ambako Rais Kikwete alikuwa anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC kuhusu Zimbabwe.
0 comments:
Post a Comment