
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Mtwar Vijijini, Hawa Ghasia, Bungeni Mjini Dodoma jana
Kingunge.

Mbunge wa Kuteuliwa Kingunge Ngombale-Mwiru (kushoto) na Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene wakizungumza nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.
0 comments:
Post a Comment