Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali mpiga picha wa magazeti ya Serikali ya Daily News na HabariLeo, Athuman Hamisi, wakati Rais alipomtembelea mpiga picha huyo kwenye Hospitali ya Milpark ya mjini Johannesburg, Afrika Kusini juzi. Athuman Hamisi amelazwa baada ya kupata ajali ya gari mwishoni mwa mwaka jana.
*Athumani tunakuombea afya njema na urejee nyumbani salama na Mungu akubariki sana.
0 comments:
Post a Comment