![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWtmJxBIkZI/AAAAAAAABZ8/5v9DSu3bwyY/s400/33.JPG)
Basi la Tashriff T768ALW ambalo liliparamia lori la magogo katika eneo la Hale wilayani Muheza mkoani Tanga na kusababisha vifo vya abiria wake 27 na kujeruhi wengine 23 likiwa katika kituo cha Polisi Hale.
![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWtgkreaSNI/AAAAAAAABZM/_2zdBE9siJU/s400/333.JPG)
Lori la magogo T 594 APA ambalo liliparamiwa na basila Tashriff
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWtglLE3ijI/AAAAAAAABZc/tDyb7lhbbgs/s400/33333.JPG)
Majeruhi Mwasiti Ramadhani akiwa na mtoto wake Amina Hamidu ambaye ni pacha wa Aisha Hamidu wakiwa wamelazwa katika Hospitali Teule ya Mheza mkoani Tanga.
![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWtgkytlKcI/AAAAAAAABZU/7hFq4271K0w/s400/3333.JPG)
Hidaya Titu akifarijiwa na jamaa yake kwa majeraha aliyoyapa katika ajali hiyo, Hidaya alimpoteza mtoto wake mmoja katika ajali hiyo.
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWtglOx7ePI/AAAAAAAABZk/6xV5ptoWIRk/s400/333333.JPG)
Wakazi wa Muheza wakichungulia madirishani majeruhi waliolazwa katika Hospitali Teule ya Muheza.
![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWtj57Mda3I/AAAAAAAABZs/kDsJxV42Iq0/s400/3333333.JPG)
Mmoja wa Majeruhi Amir Mohamed mkazi wa Korogwe Kwakomba akiwa amelazwa hopitalini hapo kwa matibabu.
![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/SWtj6GtoEWI/AAAAAAAABZ0/L4zkr1c26I4/s400/331.JPG)
Orodha ya majeruhi na majeruhi waliofariki wakiwa Hopitali Teule ya Muheza mkoani Tanga.
0 comments:
Post a Comment