Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika David Mathayo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa shindano la kumtafuta mrembo wa Afrika Mashariki lililofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Shindano hilo lilidaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain.
December 03, 2008

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment