Nafasi Ya Matangazo

August 10, 2008

TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO

JE WEWE NI MWANAFUNZI ULIYEWAHI KUSOMA SHULE YA SEKONDARI ASK ADRIAN MKOBA (VITAI) ILIYOPO KASKAZINI MWA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, AU UNAMFAHAMU MTU YEYOTE ALIYESOMA SHULE HIYO NA KUMALIZA HAPO AMA HATA KUHAMA WAKATI ALIANZIA HAPO.
TAFADHALI WASILIANA NA NDG MROKI MROKI KWA E-MAIL mrokim@gmail.com AMA SIMU +255 755 373999 NA UELEZEE MAHALI ULIPO NA UNACHOFANYA.
LENGO KUU NI KUANZISHA JUMUIA YA WANAFUNZI WALIOSOMA SEKONDARI YA ASKOFU ADRIAN MKOBA-MZUMBE MKOANI MOROGORO.

UKIPATA UJUMBE HUU TAFADHALI MTAARIFU NA MWENZAKO.
Posted by MROKI On Sunday, August 10, 2008 2 comments

2 comments:

  1. kumbe wewe kidevu umesoma kwa adrian mkoba? ndio maana picha zako nyingi ni mlali, changarawe na kipera!! haya bwana sisi wa mzumbe sekondari jee?

    ReplyDelete
  2. kumbe father Kidevu ulikuwa kwa Vitai. Good stuff. Kwa Anony juu hapo; kuna Alumni Association ya Mzukila (Mzumbe + Kilakala), unaweza kutembelea yahoo group hii:

    http://groups.yahoo.com/group/mzukila/

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo