Mfalme Mswati wa Swaziland akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakiangalia burudani ya ngoma katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere jijini Dar es salaam jana baada ya kuwasili nchini kwa shughuli za uwindaji katika mbuga ya Seluu. Mswati ameambatana na mmoja wa wake zake.
bingwa wa bikira za wadada Afrika
ReplyDeleteheheheheh
ReplyDeleteMwingine tena
mama kikwete mbona kama yupo msibani tena
ReplyDelete