Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea rasmi ripoti ya uchunguzi kuhusu upotevu wa fedha katika Akaunti ya Malipo ya Nje (EPA) kutoka kwa Mwenyekiti wa Timu iliyofanya uchunguzi huo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika katika halfa fupi iliyofanyika jana Ikulu, Dar Es salaam.Wengine katika picha ni wajumbe wa timu hiyo Mkuu wa jeshi la polisi nchini, Saidi Mwema na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini Dr.Edward Hosea.
August 18, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SASA HIYO REPORT IMETOKA WENGINE MNATAKA KUJUA KUNA NINI. NGOJA NI WAPASHE LEO THE REALITY IS WAKATI WAZAZI WETU WAMEKWENDA SHULE NYINYI WAKKWENU WALIKUWA WAPI JAMANI. MTASEMA SANA MWAKA HUU . WALIOKUWA NACHO TUTAONGEZEWA . MTAKUFA NA WIVU SASA KWA TAAARIFA YENU NA SISI TUMESOMA ZAISD YA WAZAZI WETU AMBAO MNATUITA WATOTO WA WAFISADI. MIMI NATENGENEZA 250,000 DOLLAR A YEAR MAREKANI . NA NIKIMTUMIA BABA YANGU AMBAE NYINYI MNAMWONA FISADI NI VIBAYA? . MTASEMA SANA MWAKA HUU. KWANZA MZAZI WANGU MIMI ANAIPENDA NCHI YAKE AMEKUJA KUFANYA KAZI UKO ANGEKUWA MAREKANI AU ULAYA BABA YANGU ANGELIPWA PESA NYINGI SANA . NJUE KUAPRECIATE SAA ZINGINE PESA GANI WANALIPWA YA NYINYI KUPIGIA WATU KELELE. MTOTO WA FISADI MTAONGEA SANA MWAKA HUU
ReplyDelete