Nafasi Ya Matangazo

June 10, 2024









Diwani wa kata ya Mjimwema Mhe,Omary Ngurangwa amefanya kikao na wananchi  mtaa wa kata MJIMWEMA kikao icho chenye lengo la kupata Mrejesho juu ya utekelezaji wa mradi wa DMDP kwa wananchi wanaoguswa moja kwa moja na mradi huo.

mpaka sasa mradi huo umefikia hatua ya uthamini Kwa wale wananchi ambao Moja Kwa Moja barabara inawagusa katika Maeneo Yao waliyoyaendeleza

Uthamini utaanza Rasmi siku ya Alhamisi ivyo wananchi wameaidi Kutoa ushirikiano Kwa 100%
Katika hatua nyingine wananchi wameshauriana na kukubaliana kutoa ushirikiano kwa serikali ili mradi huo ufanyike bila kikwazo.

Nawaomba tushirikiane na tuwe na itayari kwani kuoata barabara hizi ni fursa na zawadi kubwa kwetu kutoka katika serikali yetu. Alisema mmoja ya wananchi akiwaasa wenzake kujitoa katika ufanikishaji wa mradi huo
Posted by MROKI On Monday, June 10, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo