Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati
akikagua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani
Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja
na Viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire
Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja
na Viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuzindua Kiwanda cha Vioo cha
Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba,
2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na
Wananchi mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass
kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
0 comments:
Post a Comment