Nafasi Ya Matangazo

September 21, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza  jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati akikagua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.

Posted by MROKI On Thursday, September 21, 2023 1 comment

1 comment:

  1. Nifuatilia captions za picha umejitahidi kuandika vizuri, endelea hivyo hivyo ili ujipambanue na Magazeti-mitandao mengine wanaoandika kana kwamba wapo kilabuni!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo