Waziri wa Mawasiliano Mh Nape Nnauye akizingumza na mawakala wa AirtelMoney waliopo Msomera baada ya kuzindua mawasiliano.
Waziri wa Mawasiliano Mh Nape Nnauye akizingumza na kuipongeza Airtel kufikisha mawasiliano eneo hilo.
Waziri wa Mawasiliano Mh Nape Nnauye akikata utepe kuzindua huduma za mawasiliano Msomera.
Mnara wa kuongeza nguvu wa Airtel uliosimikwa Kijiji Cha Msomera, Handeni Tanga.
Kampuni ya Simu ya Airtel yawa kampuni ya kwanza kuunganisha kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga na huduma za mawasiliano pamoja na intaneti yenye kasi ya Airtel Supa 4G.

Huduma ya Airtel Money pekee inapatikana katika Kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga kwa sasa na wananchi kijijini hapo wanafurahia huduma ya kutuma na kutoa pesa bila ya Toza na Airtel Money hadi Sh 29,999.
Waziri wa Mawasiliano Mh Nape Nnauye aipongeza Airtel kuwa ya kwanza kufikisha mawasiliano katika kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga
0 comments:
Post a Comment