Nafasi Ya Matangazo

May 14, 2016

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akikagua moja ya timu iliyoshiriki mashindano ya uzinduzi wa michezo ya COPA UMISSETA kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akipiga mpira wa penati wakati akizindua michezo ya Shule za Sekondari( COPA UMISSETA)kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick(kulia)akipokelewa na  Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Coca Cola,Bonite ya mjini Moshi,Christopher Loiruk alipowasili kuzindua michezo ya COPA UMISSETA kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola
 Wanafunzi wakipokea vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Coca Cola
Wanafunzi wa Shule za Sekondari Reginald Mengi na Northern Highland wakichuana kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi wakati wa uzinduzi wa michezo ya Shule za Sekondari ya COPA UMISSETA kitaifa mkoa wa Kilimanjaro.Mashindano haya mwaka kuu yanadhaminiwa na kampuni ya Coca Cola
 Afisa Masoko wa Kampuni ya  Coca Cola,Mariam Sezinga akiongea wa waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo
 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akihutubia wananchi waliohudhuria uzinduzi wa mashindno hayo
Baadhi ya walimu wa shule za sekondari waliohudhuria uzinduzi huo wakipunga mkono wakati wa zoezi la utambulisho 
Posted by MROKI On Saturday, May 14, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo