Nafasi Ya Matangazo

December 15, 2015

 
SEDUTA HOTEL ni kiota kipya cha maraha kilichopo  Mbezi Beach, Salasala jijini Dar es Salaam. Ukiwa Seduta hutadhani kama upo ndani ya jiji la Dar es Salaam kwani ni mahali tulivu panapoweza kukupa liwazo na kukuondolea kabisa msongo wa mawazo.

Ni sehemu tulivu kwa mapumziko kwa kipindi hiki cha siku Kuu za Christmas na New Year kwa mtu mmoja au wapendano, lakini ni chaguo sahihi kwa fungate, Chakulacha jioni wewe na familia na kubwa zaidi ni sehemu mwanana kwaajili yako wewe mgeni mwenye shughuli Bagamoyo mkoani Pwani au hata katikati ya jiji la Dar es Salaam. 
 
SEDUTA HOTEL LTD OFFERS LUXURY REMARKABBLE  SERVISE AND UNLIMITED COMFORT.

Hotel Information
  Suites,Executive Rooms, Deluxe Rooms, Standard Rooms & Single Rooms 

Large Conference Facilities & evening Entertainment
  

Wireless Internet Access.
 

       ROOM FACILITIES
       24.Hours Room Services Laundry And Dry Cleaning  Services
       Air Condition, Flat screen Tv,s with satellite Tv Channel, Wireless Internet Access, Mini bar,  Tea/Coffee Making Facility

          BARS & Restaurant
   1.Main Restaurant
   2 Main bar And garden Bar.
\
Mawasiliano zaidi:-

SEDUTA HOTEL LTD
MBEZI BEACH, SALASALA
P.O. BOX 6441, DAR ES SALAAM
HOTELINE: +255 767 210 210
+255 715 056 060
+255 684 626 414
EMAIL: info@sedutahotel.co.tz
WEBSITE: www.sedutahotel.co.tz
 Pia ni sehemu nzuri kwa tafrija mbalimbali.
 
Bustani nzuri kwa mapumziko zina kusubiri wewe mteja.
 
 
Madhari safi sehemu ya kupata mlo au kifungua kinywa.
 
Vyumba vizuri na nadhifu kwaajili ya kukupa usingizi tulivu na kupata njozi safi na si za mauza uza, kwa garama hizo hapo chini.
Posted by MROKI On Tuesday, December 15, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo