Nafasi Ya Matangazo

November 30, 2015

Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiongoza matembezi hayo yaliyoandaliwa kwa ajili ya kununua madawati.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TBL Group  wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Rais mstaafu wa Tanzania Mh.Ali Hassan Mwinyi , baada ya kumalizika kwa matembezi ya hisani yalioandaliwa na taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa ajili ya kuchangisha fedha za kununulia madawati kwa wanafunzi wa shule za msingi Maji Matitu iliyopo Mbagala wilayani Temeke,Matembezi hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kushirikisha taasisi na makampuni mbambali ya hapa nchini.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL group ambayo kwa hapa nchini inamiliki  kampuni ya bia Tanzania (TBL) , Kampuni ya Konyagi na kampuni ya Chibuku wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa matembezi ya hisani yalioandaliwa na taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa ajili ya kuchangisha fedha za kununulia madawati kwa wanafunzi wa shule za msingi Maji Matitu iliyopo Mbagala wilayani Temeke.Matembezi hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kushirikisha taasisi na makampuni mbalimbali ya hapa nchini
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL group ambayo kwa hapa nchini inamiliki  kampuni ya bia Tanzania (TBL) , Kampuni ya Konyagi na kampuni ya Chibuku wakiwa katika picha ya pamoja muda kabla ya kuanza kwa matembezi ya hisani yalioandaliwa na taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa ajili ya kuchangisha fedha za kununulia madawati kwa wanafunzi wa shule za msingi Maji Matitu iliyopo Mbagala wilayani Temeke.Matembezi hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kushirikisha taasisi na makampuni mbalimbali ya hapa nchini.
Posted by MROKI On Monday, November 30, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo