Nafasi Ya Matangazo

October 09, 2015

Mtangazaji wa TV 1 MESHACK NZOWAH anaomba mchango wako wa hali na mali kumuwezesha kwenda nchini India kwa Matibabu kufuatia ajali mbaya ya gari aliyoipata hivi karibuni jijini Dar es Salaam. 

Kiasi cha Shilingi Milioni 30 zinahitajika kufanikisha matibabu hayo. 
UNAOMBWA MCHANGO WAKO

Tafadhali tuma mchango wako kwa namba za simu zifuatazo
0715304185 au 0713461627 au 
Tuma kupitia akaunti ya NMB namba 20110009584

ASANTENI
Posted by MROKI On Friday, October 09, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo