Nafasi Ya Matangazo

July 14, 2015

Mteule wa Chama cha Mapinduzi 9CCM) katika kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 mwaka huu, Dk John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano wa hadhara wa kumtambulisha kwa wananchi wa Dar es Salaam katika uwanja wa Mbagala Zakhem katika jimbo la Uchaguzi Mbagala, Wilayani Temeke leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdu;lrahman Kinana (katikati) akiwa pamoja na Mgombea Urais wa Chama hicho, Dk John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano huo wa kuwatambulisho jijini Dar es salaam leo.
 
Wanachama, wafuasi na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano huo jijini Dar es Salaam leo. 
Posted by MROKI On Tuesday, July 14, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo