Nafasi Ya Matangazo

April 01, 2015

 Wanafunzi 40 wa Chuo cha Mipango Dodoma leo wametembelea Bungeni mjini Dodoma katika ziara ya mafunzo ambapo walijifunza shughuli mbalimbali za kuendesha Bunge.
 Wanafunzi hao wakifuatilia kikao cho cha Bunge huku wengine wakipitia karatasi iliyo na orodha ya shuli zote zinazofanyika leo.
Wanafunzi hao wakiwa Bungeni hii leo.
Posted by MROKI On Wednesday, April 01, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo