Nafasi Ya Matangazo

April 10, 2015

 Umati wa watu uliofurika kituo kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo (UBT) ukiwa umekusanyika hii leo kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na magari mengine ya abiria jijini Dar es Salaam leo. Polisi walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanja watu hao ikiwa ni moja ya harakati za jkuepusha mikusanyiko mikubwa.
Mabasi ya Mikoani yakiwa UBT baada ya madereva kugoma kufanya kazi.
Posted by MROKI On Friday, April 10, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo