Mkurugenzi wa Biashara Zantel upande wa Zanzibar Mohammed Mussa katikati akitoa ufafanuzi juu ya kudhamini tunzo ya Wanamuziki Bora kutoka Zanzibar kulia Meneja Masoko kutoka Kampuni ya Zanzibar Medium Corporación Said Khamis na kushoto ni Afisa wa Zanteli Ibrahim Attas
Meneja Masoko kutoka Kampuni ya Zanzibar Medium Corporación Said Khamis kulia akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa Maelezo Zanzibar katikati ni Mkurugenzi wa Biashara Zantel upande wa Zanzibar Mohammed Mussa. Picha na Abdulla-Maelezo Zanzibar
0 comments:
Post a Comment