Nafasi Ya Matangazo

July 05, 2012

Dada Suzan Kusaga,ambaye ndiye bibi harusi mtarajiwa akiwa amepozi safi kabisa usiku huu.
Bibi harusi mtarajiwa pichani kulia akiingia ukumbini na mpambe wake.

Sehemu ya kuketi bibi harusi mtarajiwa na mpambe wake.
Kama kawa jive la kisauzi huwa halikosi kwenye minuso,Bib harusi mtarajiwa Suzan na wageni waalikwa wakiserebuka,usiku huu kwenye hafla yake ya kuagwa ndani ya ukumbi wa happy Dragon,kawe jijini dar.
Bibi harusi Mtarajiwa Suzan Kusaga na mpambe wake wakikata keki
Bibi harusi mtarajiwa,Suzan akikamkabidhi keki ya upendo Baba yake Mlezi,Godfrey Kusaga sambamba na Mkewe
Mnuso ulikuwepo wa kutosha kama hivi.
Bibi harusi Mtarajiwa akiwa amepozi na Mpambe wake safi kabisa.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Barnaba akitumbuiza usiku huu kwenye mnuso wa kumuaga dada Suzan ndani ya ukumbi wa Happy Dragon.
Baba Mlezi wa bibi harusi mtarajiwa Godfrey Kusaga akiwa na mkewe wakifuatilia jambo wakati mambo yakiendelea kuiva safi kabisa.
Mdau Andrew Kusaga na friend ake  katika pozi la picha 
Wageni waalikwa wakiserebuka 
Dada Juddy Kusaga pichani kulia akiwa na nduguze wakiwa tayari kabisa kuwapokea wageni waalikwa mbalimbali.
Mdau Harris Kapiga akiongoza mnuso huo usiku huu ndani ya ukumbi wa happy Dragoni,Kawe jijini dar.
Ulifika wakati wa kufungua shampeni.
Kama kawa kitu cha Jive kujilegeza legeza hivi halafu taratiiibu unabinjukaje sasa.
Posted by MROKI On Thursday, July 05, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo