Nafasi Ya Matangazo

July 27, 2012

Mwanamuziki mashuhuri nchini Uganda Jose Chameleone akiwa nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda na mabango sambamba na wapambe wake akishinikiza apatiwe passport yake ambayo anadai inashikiliwa na Bwa.Erick Shigongo.Picha mbalimbali kama zinavyoonesha tukio hilo nje ya jengo la Ubalozi Tanzania nchini Uganda.Picha zaidi ingia kwenye http://www.facebook.com/josechameleone

Posted by MROKI On Friday, July 27, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo