Nafasi Ya Matangazo

June 06, 2012

 Juni 2, 2012 Mwemyekiti wa Makampuni Tanzi ya IPP, aliwakutanisha wafanyakazi wakae wote wa makampuni yake katika tafrija kubwa na yaiana yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Burudani kutoka kwa B Band chini ya Banana Zoro na Zahir Ali Zoro iliporomoshwa vilivyo huku wafanyakazi hao wakifurahi kwa kjula na kunywa.
 Wafanyakzi wakishow love katika picha
 Wengine walichukua kumbukumbu na mzee mzima Zahir Zoro
 Burudani mwanzo mwisho
Amour Hassan akilamba picha na Banana Zoro wa B Band katika Red Carpet ya ya tafrija hiyo.
Posted by MROKI On Wednesday, June 06, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo