Nafasi Ya Matangazo

November 29, 2011

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, hii leo amezindia kiwanda cha Bia cha Serengeti tawi la Moshi mkaoni Kilimanjaro. Kinwanda hicho cha kisasa na kikubwa kipo eneo la Pasua Boma Mbuzi katika barabara ya Sukari.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mmoja wa Wanahisa wa SBL, Christopher Gachuma mara baada ya kuwasili kiwandano hapo.
Pinda akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda.
Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha SBL mjini Moshi.
Pinda akifunia kitambaa katika moja ya shughuli za uzinduzi wa mjini mosha. Pamoja nae ni Mwenyekiti wa Badi ya SBL, Jaji Mark Bomani na kati kati yao ni Mkuu wa Moa wa Iringa, Leonidas Gama.
Waziri Mkuu akipata maelezo juu ya uzalishaji wa Kiwanda hicho
Pinda akitembezwa katika maeneo mbalimbali ya Kiwanda.
Sehemu ya ujazaji kinywaji cha Serengeti katika kiwanda hicho.
Akiendelea kupata maelezo ya uzalishaji.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiangalia chupa ya Serengeti.
Akimaliza ziara yake


Alip[ozindua alipiga picha ya pamoja na viongozi wa SBL.
akielekea jukwaani
Wageni mbalimbali waalikwa waliohudhuria tafrija hiyo ya kufungua kiwanda kipya cha Serengeti mjini Moshi.
Wanahabari nao walishiriki kikamilifu katika uzinduzi huo.
Staff wa SBL nao walifuatilia matukio ya uzinduzi.
Wazee wa Kazi, Father Kidevu (kushoto) Ahmad Michuzi (kati) na Mzee wa Full Shangwe wakila snap la ukumbusho. Walizingatia usalama.
Kikosi cha Bras-band ya Polisi kilitoa burudani ya uhakika.
Wazee wakiwa tayari kutoa burudani wakati wa uzinduzi huo.
Posted by MROKI On Tuesday, November 29, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo