Nafasi Ya Matangazo

November 06, 2011


Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali mwigizaji wa Kundi la Ze Original Comedy, Joseph Shamba a.k.a “Vengu”, ambaye amelazwa kwa wiki kadhaa sasa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Vengu mwenye umri wa miaka 28 amejizolea umaarufu kwa kuwaigiza wanasiasa hasa Mrema na ni moja wa waasisi wa kundi la ZeOriginal Comedy.
Rais Kikweteakimfariji mama wa Vengu Hospitalini hapo.
Posted by MROKI On Sunday, November 06, 2011 14 comments

14 comments:

  1. jamani so sad! Anasumbuliwa na nini jamani?

    ReplyDelete
  2. kaka anaumwa nini. au ndo mambo yetu yaleeeee

    ReplyDelete
  3. polen sana bt tupo pamoja

    ReplyDelete
  4. Mungu ni mwema wakati wote,tunazidi kumwamini ya kwamba atakwenda kumponya kwa wakati.

    ReplyDelete
  5. pole vengu ila naamini Mungu yu pamoja nawe kikubwa ni maombi kwani kwake yeye hakuna linaloshindikana kwani kama Yesu Kristo alimfufua Lazaro aliyekuwa mfu ashindwe kwako wewe uliye hai? naamini na amini Mungu atakuponya.

    ReplyDelete
  6. Jamani, mungu atakuponya vengu, utapona mungu ni mwema sana kwetu.Usikate tamaa be strong.

    ReplyDelete
  7. pole kaka ndo life kuumwa ndo ubinadamu huo, tunakuombea

    ReplyDelete
  8. utapona vengu mungu yu pamoja nawe

    ReplyDelete
  9. pole sana vengu kwa maumivu uyapatayo hapo.Mungu yu pamoja nawe.na tunazid kukuombea inshaallah upate nafuu na kupona kabisa.

    ReplyDelete
  10. Vengu mwamini MUNGU utapona tambua kuwa sisi ni binadamu nasiyo chuma au jiwe ambalo haliwezi ugua.
    Magonjwa kwa mwanadamu ni kawaida kumbuka AYUBU aliumwa kwa miaka mingi lakini kwa kumutegemea MUNGU alipona. MUOMBE MUNGU BILAKUCHOKA NASITUPO NYUMA YAKO TUNAKUOMBEA ILI UPONE KWASABABU TUMEKUMBUKA UCHEKESHAJI WAKO. MUNGU AKULINDE NA AKUPONYE Amyn.

    ReplyDelete
  11. Mgallu from UDSMFebruary 08, 2012

    Pole Vengu,mungu atakuafu ndugu yangu mtumainie yeye.Hakika tunamiss uwepo wako kwenye "The OK"

    ReplyDelete
  12. Dorice ProtasFebruary 10, 2012

    pole sana Vengu, utapona Mwenyezi Mungu atakuponya tu, we mtegemee nawe utaona.

    ReplyDelete
  13. tunaomba update yake anaendeleaje?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo