
Mlinzi wa Nyumba ya jirani Emmanuel Damas, akionesha eneo ambalo Charles Masanja alianguka wakati akijaribu kuruka ukuta wa Nyumbani kwake majira ya saa saba usiku. Masanja alifariki muda mfupi baadae wakati akipelekwa Hospitali.

Sehemu ya ndani ambako Masanja angefanikiwa kuruka angefikia.

Mhane wa Marehemu Devotha Masanja akiwa na waombolezaji wengine, kulia ni Binti wa Marehemu Mourine.

Watotio wa Marehemu Masanja, Baraka, Mourine (kulia) na mdogo wao Benadetha wakiwa nje ya nyumba yao.

Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Marehemu Kimara Kilungule.

Waombolezaji wakiwa msibani Kimara Kilungule.

Gari alilokuwa akitumia Masanja wakati wa uhai wake.

Nyumba ya Marehemu Charles Masanja
0 comments:
Post a Comment