Nafasi Ya Matangazo

August 29, 2025

Mgombea Mwenza wa kiti cha  Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi  akiwahutubia Wananchi katika uwanja wa CCM mjini Ngudu Wilayani Kwimba, alipopita kuwasalimia wakati akianza rasmi kampeni  leo Agosti 29, 2025 jijini Mwanza. Pamoja na kuwahutubia wananchi pia alimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Kwimba ndugu Bulala Mutesigwa pamoja na Mbunge  wa Jimbo la Sumve Bujaga Charles na madiwani wa chama hicho.

Wananchi wa Wilaya ya Kwimba wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa kiti cha  Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi  alipokua akiwahutubia Wananchi katika uwanja wa CCM mjini Ngudu Wilayani Kwimba, alipopita kuwasalimia wakati akianza rasmi kampeni  leo Agosti 29, 2025 jijini Mwanza. 

Posted by MROKI On Friday, August 29, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo