Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu Elmaamry Mwamba akizungumza katika kikao cha mafunzo ya Mfumo wa Uandaaji na Usimamizi wa Bajeti (CBMS) ulioboreshwa, kufanya Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2024/25 na Maandalizi ya Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2025/26, jijini Dodoma ambapo aliwaagiza washiriki wa kikao hicho kuhakikisha mipango na bajeti zinaandaliwa na kutekelezwa kwa kuzingatia vipaumbele vya Serikali.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu Elmaamry Mwamba (katikati), Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bw. Japhet Justine (kushoto) na Kamishna wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack Anyingisye, wakifuatilia mawasilisho mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa katika kikao cha mafunzo ya Mfumo wa Uandaaji na Usimamizi wa Bajeti (CBMS) ulioboreshwa, kufanya Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2024/25 na Maandalizi ya Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2025/26, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu Elmaamry Mwamba (katikati), Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bw. Japhet Justine (kushoto) na Kamishna wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack Anyingisye, wakifurahia jambo wakati wakisikiliza mawasilisho mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa katika kikao cha mafunzo ya Mfumo wa Uandaaji na Usimamizi wa Bajeti (CBMS) ulioboreshwa, kufanya Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2024/25 na Maandalizi ya Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2025/26, jijini Dodoma.
Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bw. Japhet Justine akizungumza kwa niaba ya Naibu Katibu Mkuu nayesimamia Uchumi Bw. Elayja Mwandumbya katika kikao cha mafunzo ya Mfumo wa Uandaaji na Usimamizi wa Bajeti (CBMS) ulioboreshwa, kufanya Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2024/25 na Maandalizi ya Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2025/26, jijini Dodoma.
Kamishna wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack Anyingisye, akizungumza katika kikao cha mafunzo ya Mfumo wa Uandaaji na Usimamizi wa Bajeti (CBMS) ulioboreshwa, kufanya Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2024/25 na Maandalizi ya Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2025/26, jijini Dodoma.
Baadhi ya Washiriki wa kikao cha mafunzo ya Mfumo wa Uandaaji na Usimamizi wa Bajeti (CBMS) ulioboreshwa, kufanya Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2024/25 na Maandalizi ya Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2025/26, wakifuatilia mawasilisho mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea katika kikao hicho, jijini Dodoma.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Sebastian Acevedo akitoa wasilisho kuhusu mchango wa shirika hilo katika Bajeti ya Serikali wakati wa kikao cha mafunzo ya Mfumo wa Uandaaji na Usimamizi wa Bajeti (CBMS) ulioboreshwa, kufanya Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2024/25 na Maandalizi ya Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2025/26, jijini Dodoma.
******************
Na. Farida Ramadhan WF, Dodoma

.jpg)

.jpg)

.jpg)

0 comments:
Post a Comment