Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionyesha kadi yake ya
mpiga kura mara baada ya kushiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika
Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya
Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akioneshwa taarifa zake kama zipo sahihi wakati akishiriki zoezi la
uboreshaji wa taarifa katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17
Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma, kulia ni
Mwendesha Kifaa cha Bayometriki Nicholaus Natay kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akishiriki zoezi la
uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17

Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi
waliojitokeza kushiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa katika Daftari la Kudumu
la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji,
Chamwino mkoani Dodoma.
0 comments:
Post a Comment