Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro, Machi 25, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro, Machi 25, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mwanga, Wakili Joseph Tadayo katika mkutano wa hadahara aliouhutubia kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro, Machi 25, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimajaro baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimajaro, Machi 25, 2025. Kutoka kushoto ni Mwanahamisi Munkunda wa Mwanga, Kasilda Mgeni wa Same, Raymond Magwala wa Rombo, Dkt. Christopher Timbuka wa Siha na Hassan Bomboko wa Hai.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Sekondali Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro kuhutubia mkutano wa hadhara, Machi 25, 2025. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu.
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimajaro, Machi 25, 2025.
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimajaro, Machi 25, 2025.
0 comments:
Post a Comment