Nafasi Ya Matangazo

November 03, 2024

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mzee John Tutuba,  baba mzazi wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania , Emmanuel Tutuba, nyumbani kwa Gavana huyo Oysterbay jijini Dar es salaam  November 3, 2024. Mzeee Tutuba alifariki  katika Hospitali ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es salaam alikokuwa akitibiwa , November 1, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba nyumbani kwa Gavana huyo Oysterbay jijini Dar es salaam alipokwenda kumpa pole November 3, 2024 kufuatia kifo cha baba yake  mzazi, Mzee John Tutuba kilichotokea katika Hospitali ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es salaam alikokuwa akitibiwa, November 1, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba nyumbani kwa Gavana huyo Oysterbay jijini Dar es salaam alipokwenda kumpa pole November 3, 2024, kufuatia kifo cha baba yake  mzazi, John Tutuba kilichotokea katika Hospitali ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es salaam alikokuwa akitibiwa, November 1, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza neno la faraja kwa   Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba, (wa pili kushoto), wanafamilia na waombolezaji , nyumbani kwa Gavana huyo Oysterbay jijini Dar es salaam alipokwenda kumpa pole November 3, 2024 kufuatia kifo cha baba yake  mzazi, Mzee John Tutuba kilichotokea katika Hospitali ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es salaam alikokuwa akitibiwa, November 1, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo November 03, 2024 amehani msiba wa Mzee John Tutuba ambaye ni baba mzazi wa  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba nyumbani kwa Gavana huyo Oysterbay jijini Dar es salaam 

Mzee Tutuba alifariki Novemba 01, 2024 katika Hospitali ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es salaam alikokuwa akitibiwa.
Posted by MROKI On Sunday, November 03, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo