Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Sean Coppola mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kikao kilichofanyika leo Novemba 18,2024 katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) jijini Dar es Salaam mbapo pamoja na mambo mengine wamekubaliana kushirikiana kwenye nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akimkabidhi zawadi Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Sean Coppola mara baada ya kikao kilichofanyika leo Novemba 18,2024 katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine wamekubaliana kushirikiana kwenye nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii.
Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Sean Coppola akizungumza katika kikao kati yake na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) (hayupo pichani) kilichofanyika leo Novemba 18,2024 katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine wamekubaliana kushirikiana kwenye nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii.Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) (katikati) akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Sean Coppola (hayupo pichani) mara katika kikao kilichofanyika leo Novemba 18,2024 katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine wamekubaliana kushirikiana kwenye nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii. Kulia ni Mkuu wa Chuo cha Taifa Cha Utalii (NCT) Dkt.Florian Mtey na Msaidizi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Sikujua Mfangavo (kushoto).
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Sean Coppola ambapo pamoja na mambo mengine wamekubaliana kushirikiana kwenye nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii.
0 comments:
Post a Comment