Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifafanua jambo kwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (hayupo pichani) alipotembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kujitambulisha na kuona namna inavyofanya kazi jijini Arusha.
Rais
wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud
akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi na ujumbe wake (hayupo
pichani) wakati wa ziara yake ya kujitambulisha na kuona namna Mahakama hiyo
inavyofanya kazi jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele kushoto) akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (aliyeketi kushoto kwake) alipofika Mahakamani hapo kujitambulisha na kuona namna inavyofanya kazi jijini Arusha.
Wakili
Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally possi akipokea zawadi ya Taarifa za Kesi kutoka kwa
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud
alipotembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kujitambulisha na kujionea namna
Mahakama hiyo inavyotekeleza majukumu yake jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimkabidhi Jarida la Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud alipotembelea Mahakama hiyo kwa lengo la Kujitambulisha na kuona namna Mahakama hiyo inavyotekeleza majukumu yake Jijini Arusha.
Baadhi
ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa
Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa
Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (hayupo pichani)
wakati wa ziara ya Dkt. Possi ya kujitambulisha na kuona namna Mahakama hiyo
inavyofanya kazi jijini Arusha.
Wakili
Mkuu wa Serikali, Dkt Ally Possi (wa nne kushoto) na ujumbe wake akiwa kwenye
picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe.
Jaji Imani Aboud (wa nne kulia) baada ya kutembelea Mahakama hiyo kwa lengo la
kujitambulisha na kujionea namna Mahakama hiyo inavyotekeleza majukumu yake
jijini Arusha.
0 comments:
Post a Comment