Nafasi Ya Matangazo

October 11, 2024

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Wiki ya Vijana Kitaifa 2024 kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, Oktoba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishiriki kuimba wimbo wa Taifa kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza ambako alizindua Wiki ya Vijana Kitaifa, Oktoba 11, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa  Mtumwa Juma Amir alipotembelea Banda la Maonesho  la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar katika uzinduzi wa Wiki ya Vijana Kitaifa 2024 kwenye Viwanja via Furahisha jijini Mwanza, Oktoba 11, 2024. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Praise David Laizer wa  Taasisi ya Green Venture Tanzania ya Arusha kuhusu madawati  yanayotengenezwa kwa kutumia plastic katika Uzinduzi wa maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2024 kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, Oktoba 11, 2024. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete.
Waandamanaji wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2024 kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, Oktoba 11, 2024. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitazama ngoma alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza  ambako alizindua Wiki ya Vijana  Kitaifa 2024 kwenye Viwanja via Furahisha jijini Mwanza, Oktoba 11, 2024. 

Posted by MROKI On Friday, October 11, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo