Nafasi Ya Matangazo

October 19, 2024

Kwa mara ya kwanza katika historia, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde anakutanisha Wizara na Taasisi zake kupitia Bonanza  la Madini ambapo michezo mbalimbali inaendelea katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlini jijini Dodoma.

Picha mbalimbali za matukio akikagua na kusalimiana na wanamichezo wa timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga zinazoundwa na watumishi wa Wizara na Taasisi zake.








 

Posted by MROKI On Saturday, October 19, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo