Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha
kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika
Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.

Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini baada ya kujiandikisha
kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika
Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni ya kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye foleni ya kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura kwa
ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino,
Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wananchi wa Chamwino mara baada ya kujiandikisha kwenye Daftari
la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha
Sokoine Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.
Wananchi wa Chamwino wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyekua akizungumza baada ya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzindua zoezi hilo Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.

Wananchi wa Chamwino
wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyekua akizungumza baada ya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali
za Mitaa mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzindua zoezi hilo Mkoani Dodoma tarehe 11
Oktoba,2024.
0 comments:
Post a Comment