Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby, Bungeni jijini Dodoma Oktoba 29, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari, Bungeni jijini Dodoma Oktoba 29, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange, Bungeni jijini Dodoma Oktoba 29, 2024.
0 comments:
Post a Comment