Nafasi Ya Matangazo

October 11, 2024

Mkuu wa wilaya ya Nyang'wale Grace Kingalame akipata maelezo kutoka kwa Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB  wakati alpotembekea banda hilo kwenye maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita Oktoba 10, 2024, kulia ni Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Careen Max. 
Mkuu wa wilaya ya Nyang'wale Grace Kingalame akipokea zawadi kutoka kwa Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB  wakati alipotembekea banda hilo kwenye maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita Oktoba 10, 2024,
Mkuu wa wilaya ya Nyang'wale Grace Kingalame akifafanuliwa baadhi ya Mambo wakati akipta maelezo  kutoka kwa Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB  wakati alipotembekea banda hilo kwe ninye maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita Oktoba 10, 2024,
Posted by MROKI On Friday, October 11, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo