Nafasi Ya Matangazo

September 23, 2024

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songea kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili za Mkoa wa Ruvuma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songea kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo tarehe 23 Septemba, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono viongozi mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songea Mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa alipokuwa akitoa maelezo kuhusu mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea Mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ameanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma ambapo pamoja na mambo mengine atakagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara (kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi wakati walipokuwa wakimsubiri kumpokea Rais Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Songea, Mkoani Ruvuma, leo Septemba 23, 2024.

Posted by MROKI On Monday, September 23, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo