Nafasi Ya Matangazo

June 05, 2024

Prof. Abel Makubi
Dkt. Alphonce Biola Chandika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma.

Kabla ya uteuzi huu Prof. Makubi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI). 

Prof. Makubi anachukua nafasi ya Dkt. Alphonce Biola Chandika ambaye amemaliza muda wake.
Posted by MROKI On Wednesday, June 05, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo