Nafasi Ya Matangazo

May 13, 2024

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi  wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mbeya iliyopo katika kijiji cha Busale wilayani Kyela, Mei 12, 2024.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwasalimia wananchi wa Tukuyu akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mbeya, Mei 12, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi  wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mbeya iliyopo katika kijiji cha Busale wilayani Kyela, Mei 12, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akiwasalimia wananchi baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana, Mbeya katika kijiji cha Busare wilayani Kyela, Mei 12, 2024. 
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mbeya iliyopo katika kijiji cha Busare wilayani Kyela. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Mei 12, 2024. 
Muonekano wa Jengo la Mama na Mtoto katika hospitali ya wilaya ya Kyela ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake, Mei 12, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Posted by MROKI On Monday, May 13, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo