Nafasi Ya Matangazo

May 24, 2024











Leo Mei 24, 2024 Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa ametembelea maonesho, ikiwa ni sehemu ya Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini linalohitimishwa jijini Arusha.
 
Mhe. Naibu Waziri wa Madini anatarajiwa kufunga Jukwaa hilo sambamba na kutoa tuzo mbalimbali kwa wadhamini. 

Jukwaa hilo lililoanza mapema Mei 22, 2024 linakutanisha wadau  mbalimbali ikiwa ni pamoja na wamiliki wa leseni za madini, watoa huduma kwa wamiliki wa leseni za madini, Taasisi za Fedha na Taasisi za Serikali.
Posted by MROKI On Friday, May 24, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo