Nafasi Ya Matangazo

May 09, 2024

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma taarifa kuhusu  Kimbunga Hidaya kilichotokea pwani ya bahari ya Hindi, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Deogratius  Ndejembi (kushoto), Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa tatu kushoto), Waziri wa Madini, Anthony Mavunde (wa nne kushoto) , Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa pili kulia) na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. 
 

Posted by MROKI On Thursday, May 09, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo