Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis
akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Mzee Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika tukio la kuchanganya udongo wa
Tanganyika na Zanzibar, mazishi yaliyofanyika katika Midawi, Old Moshi mkoani
Kilimanjaro leo tarehe o8 Mei, 2024.
Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akitia
saini kitabu cha maombolezo alipowasili nyumbani kwa Marehemu Mzee Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika
tukio la kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar, mazishi yaliyofanyika
katika Kijiji cha Midawi, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe o8 Mei,
2024.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis
akiungana na viongozi mbalimbali wa wilaya na waombolezaji katika katika
mazishi ya Marehemu Mzee Hasanieli
Mrema aliyeshiriki katika tukio la kuchanganya udongo wa Tanganyika na
Zanzibar, mazishi yaliyofanyika katika Midawi, Old Moshi mkoani Kilimanjaro leo
tarehe o8 Mei, 2024.Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akitoa
salamu za Serikali wakati wa mazishi ya Marehemu Mzee Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika tukio la kuchanganya udongo wa
Tanganyika na Zanzibar, mazishi yaliyofanyika katika Midawi, Old Moshi mkoani
Kilimanjaro leo tarehe o8 Mei, 2024.
Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akitoa
salamu za Serikali wakati wa mazishi ya Marehemu Mzee Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika tukio la kuchanganya udongo wa
Tanganyika na Zanzibar, mazishi yaliyofanyika katika Midawi, Old Moshi mkoani
Kilimanjaro leo tarehe o8 Mei, 2024.
Mkuu wa Wilaya
ya Moshi Zephania Sumaye akitoa salamu za Mkoa wakati wa mazishi ya Marehemu Mzee Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika
tukio la kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar, mazishi yaliyofanyika
katika Midawi, Old Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe o8 Mei, 2024.
Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mzee
Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika tukio la kuchanganya udongo wa Tanganyika
na Zanzibar, mazishi yaliyofanyika katika Midawi, Old Moshi mkoani Kilimanjaro leo
tarehe o8 Mei, 2024.
Sehemu ya
waombolezaji wakiwa katika mazisihi ya Marehemu Mzee Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika tukio la kuchanganya udongo wa
Tanganyika na Zanzibar, mazishi yaliyofanyika katika Midawi, Old Moshi mkoani
Kilimanjaro leo tarehe o8 Mei, 2024.
Sehemu ya
waombolezaji wakiwa katika mazisihi ya Marehemu Mzee Hasanieli Mrema aliyeshiriki katika tukio la kuchanganya udongo wa
Tanganyika na Zanzibar, mazishi yaliyofanyika katika Midawi, Old Moshi mkoani
Kilimanjaro leo tarehe o8 Mei, 2024.
***************
Shughuli hiyo ya mazishi hayo imehudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Zephania Sumaye kwa aliyemwakilisjha Mkuu wa Kilimanjaro, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Cesilia Nkwamu na viongozi wa wilaya.
0 comments:
Post a Comment