Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati Mkurugenzi wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson alipokabidhi vyakula kwa Bibi Maligo Daimon baada ya Waziri Mkuu kumkabidhi Bibi huyo Nyumba ya kuishi iliyojengwa na Taasisi hiyo katika mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini na Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust, Dkt Tulia Ackson wakimpongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kumiabidhi Nyumba ya kuishi iliyojengwa na Taasisi hiyo katika Mata wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mwananchi alipowasili kwenye Mtaa wa Ilolo jijini Mbeya ambako alikabidhi Nyumba ya kuishi kwa Bibi Maligo Daimon iliyojengwa na Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust, Mei 11, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini na Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust, Dkt Tulia Ackson wakimpongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kumiabidhi Nyumba ya kuishi iliyojengwa na Taasisi hiyo katika Mata wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini na Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust, Dkt Tulia Ackson wakimpongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kumiabidhi Nyumba ya kuishi iliyojengwa na Taasisi hiyo katika Mata wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini na Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust, Dkt Tulia Ackson wakimpongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kumiabidhi Nyumba ya kuishi iliyojengwa na Taasisi hiyo katika Mata wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kukabidhiwa Nyumba ya kuishi na Chakula na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust ambayo Mkurugenzi wake ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson, makabidhiano hayo yamefanyika katika Mata wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024.
0 comments:
Post a Comment