Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Kanisa la
Anglikana Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 12-5-2024,baada
ya kumalizika kwa Missa Kuu ya Upatanisho iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa
Canterbury Justini Welby, iliyofanyika katika Kanisa hilo.
WAUMINI wa Dini Kanisa la Anglikana Mkunazini
Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,
akizungumza na wakati wa Missa Kuu ya
Upatanisho iliyofanyika leo 12-5-2024
katika Kanisa la Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar ,
iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Askofu Mkuu wa Canterbury
Justin Welby, baada ya kumalizika kwa Missa Kuu ya Upatanisho iliyofanyika leo
12-5-2024 katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Waumini wa Kanisa la
Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar, wakati akiondoka baada ya kumalizika kwa
hafla ya Missa Kuu ya Upatanisho na kuzindua Jiwe la Kumbukumbu ya Maridhiano
Waliyofanyiwa Waafrika Wakati wa Biashara ya Utumwa.
0 comments:
Post a Comment