Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka (mwenye suti kulia) akimkaribisha Mhe. Waziri Mkuu, alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye kilele ya Wiki ya Elimu Tanga.
Mhe. Waziri Mkuu akikagua mfuko uliotengenezwa kwa bidhaa taka na zao la Mwani, alipotembelea Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma.
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, akipata maelezo kutoka kwa mbunifu wa vifungashio kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Bw. Mohammed Amini, Mkufunzi Msaidizi kutoka Ndaki ya Sayansi Asilia na Hisabati.

Mhe. Waziri Mkuu akieleza jambo wakati wa akiwa kwenye Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma, wakati wa kufunga maadhimisho ya Wiki ya Elimu yaliyofanyika mkoani Tanga.
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, wakiwa kwenye picha ya pamoja katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Elimu Mkoani Tanga. Maadhimisho hayo yalikwenda sambamba na maonesho ya Elimu, Ubunifu na Teknolojia.************
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa,
amevutiwa na ubunifu uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye Maadhimisho ya
Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu.
0 comments:
Post a Comment